Michezo

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeagiza mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho baina ya Simba na RSB Berkane uhamishiwe Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kwa mujibu wa barua ya CAF jana iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa […]

Filed in Magazeti, Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025 Klabu ya Yanga itacheza na JKT Tanzania Katika mchezo wa Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 18 May 2025 kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, Jijini Tanga Kuanzia Saa 9:30 alasiri. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog itakuletea Kikosi Cha Yanga […]

Filed in Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025 Yanga SC itacheza mchezo wake unaofuata dhidi ya JKT Tanzania FC, ukiwa ni mchezo wa Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 28 May 2025 kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, Jijini Tanga Kuanzia Saa 9:30 Usiku. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog […]

Filed in Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025

KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025

KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025 Simba SC itacheza mchezo wake unaofuata dhidi ya RS Berkane ya Morocco, ukiwa ni mchezo wa Kwanza wa Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 17 May 2025 kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco Kuanzia Saa 4:00 Usiku. Kuelekea mchezo huo, […]

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025

MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025

MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025 Simba itacheza na RS Berkane ya Morocco Katika mchezo wa Kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Mchezo huo utapigwa tarehe 17 May 2025 kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane, Morocco Kuanzia Saa 4:00 Usiku. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog itakuletea Update zote […]

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024 CAF ambayo ilianzishwa mwaka 1957 ndilo shirikisho la soka barani Afrika, huku Wanachama waanzilishi wakiwa Misri, Sudan, Ethiopia na Afrika Kusini. Katika Kongamano la FIFA mwaka 1954 lililofanyika Berne, Uswizi, lilipigiwa Kura kutambua Afrika kama Shirikisho. Hii iliipa bara la Afrika haki ya kuteua mwakilishi wake wa kwanza kwenye […]

Filed in Ajira, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex 25 May 2025 Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeuondoa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam. Taarifa ambayo inadaiwa Simba imeshaipokea ni kwamba CAF imeliagiza Shirikisho la Soka […]

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane Baada ya taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu CAF kupitia barua yao ya kuwaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho 2024/2025 kati ya Simba dhidi ya Berkane upigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Klabu ya Simba SC, imetoa […]

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025 Orodha ya vinara wa mabao Ligi ya NBC Championship 2024/2025, orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Championship 2024/2025. Andrea Simchimba – Geita Gold = 18. Abdulaziz Shahame – TMA FC = 18. Raizin Hafidh – Mtibwa Sugar = 18. Eliud Ambokile – Mbeya City = 12. Yusuph Mbili – […]

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025 Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Kuwa malengo ya Simba ni kutwaa kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF CC) na wanakwenda kwenye mechi mbili za Fainali dhidi ya RS Berkane wakiwa na kauli mbiu ya TUNABEBA. May 17 Simba itakuwa Morocco kucheza Fainali […]

Filed in Magazeti, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments

Ajira

NAFASI Za Kazi Geita Gold Limited

NAFASI Za Kazi Geita Gold Limited

NAFASI Za Kazi Geita Gold Limited Mgodi wa Dhahabu wa Geita ni mgodi wa wazi wa dhahabu unaopatikana katika Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita (zamani sehemu ya Mkoa wa Mwanza ) nchini Tanzania, ukimilikiwa na Kampuni ya AngloGold Ashanti. Mnamo 2008, mgodi huo ulichangia 6% ya uzalishaji wa dhahabu wa kila mwaka wa […]

Filed in Ajira by on May 16, 2025 6 Comments
NAFASI Za Kazi Watu Credit Tanzania

NAFASI Za Kazi Watu Credit Tanzania

NAFASI Za Kazi Watu Credit Tanzania WATU ni kampuni inayozingatia wateja ambayo inaamini kila mtu anastahili fursa ya kuwa mjasiriamali na kufikia malengo yao makubwa maishani. Maono ya Kampuni hiyo ni kutoa ufadhili wa mali kwa pikipiki na magurudumu matatu kwa wale wanaoelewa wanapopewa zana zinazofaa wanaweza kutimiza ndoto zao na mahitaji ya familia zao […]

Filed in Ajira by on May 16, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Dangote Cement PLC

NAFASI Za Kazi Dangote Cement PLC

NAFASI Za Kazi Dangote Cement PLC Dangote Cement PLC ni watengenezaji wa saruji wa kimataifa wa Nigeria wenye makao yake makuu Lagos. Kampuni hiyo inajishughulisha na utengenezaji, utayarishaji, uagizaji, ufungaji, na usambazaji wa saruji na bidhaa zinazohusiana nchini Nigeria, na ina viwanda au vituo vya kuagiza katika nchi nyingine tisa za Afrika. Dangote Cement Plc […]

Filed in Ajira by on May 16, 2025 12 Comments
NAFASI Za Kazi MUHAS University

NAFASI Za Kazi MUHAS University

NAFASI Za Kazi MUHAS University Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ambacho kilianza kama Dar-es-Salaam Shule ya Matibabu kilibadilishwa na kuwa Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam mwaka 1968. Chuo hicho kimetangaza Ajira Kwa Watu wenye ari, nia na sifa stahiki kujaza nafasi Za Kazi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF. […]

Filed in Ajira by on May 16, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024 CAF ambayo ilianzishwa mwaka 1957 ndilo shirikisho la soka barani Afrika, huku Wanachama waanzilishi wakiwa Misri, Sudan, Ethiopia na Afrika Kusini. Katika Kongamano la FIFA mwaka 1954 lililofanyika Berne, Uswizi, lilipigiwa Kura kutambua Afrika kama Shirikisho. Hii iliipa bara la Afrika haki ya kuteua mwakilishi wake wa kwanza kwenye […]

Filed in Ajira, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania

NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania

NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya udereva kutuma maombi ya kazi kwa nafasi kumi na nne (14) za kuajiri madereva kwa mkataba. ✅DEREVA – NAFASI 14 SIFA ZA MWOMBAJI Mwombaji awe na Cheti […]

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD NJORECU LTD ni chama cha ushirika cha sekondari, kilichosajiliwa tarehe 6 Septemba 2013 kwa usajili Na.5050. NJORECU inaendesha shughuli zake katika wilaya sita ambazo ni Njombe, Wanging’ombe,Ludewa na Makete pamoja na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Halmashauri ya Mji wa Makambako. Jumuiya hiyo hapo awali […]

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania

NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania

NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania Position: Sales Offices For LPG Supplies (– 4 Posts) Location: Arusha AA Tanch Trading is a Tanzanian company based in Arusha that facilitates international trade, particularly importing goods from China. They offer services like ordering products, consulting on Chinese-made products, and delivering goods directly to customers’ doors. Requirements […]

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD Position: Yard Officer – ( Post – 01) Work Station: Head OfficeJob listings Platinum Credit Limited is a credit only Micro-Finance Company licensed in Tanzania under the Company’s Act. The company invites applications from suitably qualified candidates to fill the following positions: Key Responsibilities Monitor and verify all repossessed […]

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CNS Group Limited

NAFASI Za Kazi CNS Group Limited

NAFASI Za Kazi CNS Group Limited CNS Group inasaidia biashara za kimataifa nchini Tanzania kwa masuluhisho ya kina ya rasilimali watu, kuchanganya umahiri wa kimataifa na wa ndani. Biashara yao inaangazia ukuaji endelevu wa biashara, kudhibiti mahitaji ya ajira, na kutoa masuluhisho endelevu ya athari za kijamii kote nchini. Kwa zaidi ya miaka 30 ya […]

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments

Elimu

NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026

NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026

NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026 Kuelekea Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET) linapenda kuwjulisha wanafunzi wote Wanaotarajia kujiunga na mafunzo kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kuzingatia yafuatayo pindi dirisha […]

Filed in Elimu by on May 15, 2025 0 Comments
Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025,Selection Form Five 2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2025 na Vyuo vya Kati, Form five Selection 2025. Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara […]

Filed in Elimu by on May 13, 2025 3 Comments
TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba

TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba

TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba Mpango huu unalenga kutumia wafanyakazi wenye ujuzi kwa kuweka wafanyakazi wa kujitolea katika sekta kama vile afya, elimu, kilimo, na utawala wa serikali za mitaa. Wafanyakazi wa kujitolea hawatapata tu uzoefu muhimu wa kazi lakini pia watasaidia huduma muhimu za umma, hasa katika maeneo ambayo hayajahudumiwa. Waombaji […]

Filed in Elimu, Makala by on May 12, 2025 6 Comments
NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo

NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo

NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo JE! WEWE NI MWANAFUNZI ULIYEDAHILIWA KATIKA VYUO VYA KATI KWA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA? Kama jibu ni ndiyo, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linakusisitiza kuhakiki udahili wako kwa kufuata hatua zifuatazo; ili Kuhakiki Udahili wako Ingia kwenye tovuti ya […]

Filed in Elimu by on May 8, 2025 0 Comments
NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart

NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart

NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart, Mwanachuo Smart Jihudumie Popote. Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limezindua kampeni ya Mwanachuo Smart yenye lengo la kukuza uelewa wa wanachuo wa ngazi ya Astashahada na Stashahada kuhusu mifumo mbalimbali ya kidigitali ya NACTVET kwaajili ya kujipatia huduma mbalimbali. Kampeni hiyo […]

Filed in Elimu by on May 8, 2025 0 Comments
HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake

HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake

HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake Maswali 25 pamoja na majibu yake yameandaliwa kumwezesha mwombaji, mzazi, mlezi au mtoa huduma kwa mwanafunzi kuelewa kwa lugha rahisi utaratibu, sifa na vigezo vitakavyotumika katika upangaji mikopo kwa Mwaka 2024/2025. Ingawa Maswali na Majibu haya yamebeba maudhui ya miongozo iliyotolewa, waombaji mikopo na ruzuku kwa […]

Filed in Elimu by on May 7, 2025 0 Comments
SIPA Loan Allocation Status 2024/2025

SIPA Loan Allocation Status 2024/2025

SIPA Loan Allocation Status 2024/2025, SIPA HESLB Account 2024/2025. SIPA Login HESLB. Student’s Individual Permanent Account (SIPA) is the personal account for the higher education loan application for the students who need to join various universities in Tanzania. The government of Tanzania use to provide loans to the students who admitted to join different universities […]

Filed in Elimu, Makala by on May 7, 2025 0 Comments
HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025

HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025

HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB inawatangazia wanafunzi wote walioomba mikopo kwaajili ya dirisha la mwezi Machi, kwamba jumla ya waombaji 873 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 1,944,922,500.00. Katika awamu hii, mikopo imepangwa kama ifuatavyo: Chakula na Malazi (MA) yenye thamani ya TZS […]

Filed in Elimu by on May 7, 2025 0 Comments
MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea

MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea

MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea Mwongozo wa Walimu wa Kujitolea Katika Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari Nlna Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi Tanzania Bara. Mwongozo wa Walimu wa Kujitolea umeandaliwa ili kutoa maelekezo ya namna ya kupata walimu wenye sifa stahiki na kuwaajiri kwa mkataba wa kujitolea, kutoa taratibu za mafunzo kabilishi, kupanga na kutoa […]

Filed in Elimu by on May 4, 2025 1 Comment
SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea

SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea

SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea Mwalimu wa kujitolea katika Shule za Elimu ya awali, Msingi, Sekondari, na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi anahitajika kuwa na sifa zifuatazo; Awe Raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18. Awe Mhitimu aliyefaulu mafunzo ya Ualimu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe Mmiliki wa vyeti halisi vya kitaaluma na […]

Filed in Elimu by on May 4, 2025 0 Comments

Kuitwa Usaili

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM) uliofanyika tarehe 15/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO YA USAILI […]

Filed in Usaili by on May 15, 2025 0 Comments
MASWALI ya Usaili Kada ya Afisa Mazingira

MASWALI ya Usaili Kada ya Afisa Mazingira

MASWALI ya Usaili Kada ya Afisa Mazingira Kupitia Makala hii, utaweza Kufahamu maswali yanayoulizwa mara Kwa mara kwenye Usaili wa Afisa Mazingira. Afisa mazingira analo jukumu muhimu katika kulinda na kudumisha mazingira yetu, hapa chini kuna baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu jukumu hili muhimu katika Jamii. Maswali haya yanaonyesha umuhimu wa kazi […]

Filed in Makala, Usaili by on May 15, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUHAS 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUHAS 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MUHAS 13/05/2025 Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-05-2025 hadi 20-05 2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo […]

Filed in Usaili by on May 13, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Vipimo WMA 13/05/2025 Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa Kada ya Dereva Daraja la II kuwa, usaili wa kuandika/ mchujo unatarajiwa kufanyika tarehe 17/05/2025 katika Ukumbi wa Nyerere (Lecture Theatre 2) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), usaili wa Vitendo […]

Filed in Usaili by on May 13, 2025 0 Comments
MPANGILIO wa Vituo na tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II 2025

MPANGILIO wa Vituo na tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II 2025

MPANGILIO wa Vituo na tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II 2025 Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma imetangaza Mpangilio wa Vituo na tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja la II (DRIVER II) Kuanzia tarehe 24 Mei, 2025 hadi tarehe 17 Juni, 2025. Wasailiwa wote walioitwa kwenye […]

Filed in Usaili by on May 13, 2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 12/05/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 12/05/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 12/05/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISH uliofanyika tarehe 12/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND […]

Filed in Usaili by on May 12, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili OSHA na NACTVET 12/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia […]

Filed in Usaili by on May 12, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 12/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 12/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 12/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Wizara ya Mifugo na Uvuvi UVUVI, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Bodi ya […]

Filed in Usaili by on May 12, 2025 0 Comments
TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025

TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025

TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025 HUISHA TAARIFA ZA MAHALI ULIPO KWENYE AKAUNTI YAKO YA AJIRA PORTAL ILI KUPANGIWA KITUO CHA USAILI KARIBU YAKO. Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30 Mei 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa […]

Filed in Usaili by on May 12, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 11/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 11/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 11/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI), MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 30-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili […]

Filed in Usaili by on May 11, 2025 1 Comment

Kuitwa Kazini

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 20-01-2024 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 15, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 14/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 14/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 14/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 14, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 13/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 12-10-2024 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 13, 2025 2 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 8, 2025 1 Comment
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 06/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 7, 2025 3 Comments
MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 05/04/2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 05/04/2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 05/04/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 5, 2025 0 Comments
MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini TARURA May 2025 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) anapenda kutoa taarifa wagombea wote waliohudhuria Usaili wa Mahojiano kwa nafasi ya ENGINEER II na TECHNICIAN II iliyofanyika tarehe 07 na 08 Machi, 2025 na ambao majina yao yanaonekana katika hili tangazo, kwamba wamechaguliwa na Kuitwa Kazini […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 5, 2025 0 Comments
MAJINA ya Waliotwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatangaza majina ya waliochaguliwa kuhudhuria mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Wahusika wote wanatakiwa kufika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga kuanzia tarehe 16 […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 3, 2025 1 Comment
MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 03/05/2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 03/05/2025

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 03/05/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-10-2024 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Filed in Kuitwa Kazini by on May 3, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini TFS na TAWA 30/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TFS na TAWA 30/04/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TFS na TAWA 30/04/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-03-2025 na tarehe 28-03-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on April 30, 2025 0 Comments

Habari

MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba

MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba

MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba Halmashauri ya Wilaya ya Muleba imechukua hatua kubwa kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi wa visiwa 39 vilivyopo Ziwa Victoria kwa kununua boti mpya ya abiria yenye uwezo wa kubeba watu 27 kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 268. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa boti hiyo katika […]

Filed in Habari by on May 14, 2025 0 Comments
TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia

TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia

TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025. Charles pia aliwahi mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023. Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara […]

Filed in Habari by on May 11, 2025 0 Comments
ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki

ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki

ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki, Pope Leo XIV ndiye Papa Mpya wa Kanisa Katoliki. Robert Francis Prevost raia wa Marekani mwenye Umri wa Miaka 69 ametangazwa kuwa Papa Mpya wa 267 wa Kanisa Katoliki, leo Mei 8, 2025 akichukua nafasi hiyo baada ya kifo cha Papa Francis (88) aliyefariki Aprili 21, 2025. […]

Filed in Habari by on May 8, 2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025 TAARIFA KWA UMMA JUU YA BEI ZA MAFUTA ZANZIBAR KWA MWEZI MEI 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inatangaza Bei za Mafuta kwa Mwezi Mei 2025 zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Ijumaa, Tarehe 09/05/2025. Mamlaka hupanga bei kwa kuzingatia […]

Filed in Habari by on May 8, 2025 0 Comments
WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya kilichotokea asubuhi ya leo May 07,2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo. Akitangaza taarifa […]

Filed in Habari by on May 7, 2025 0 Comments
BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025, EWURA Bei Za Mafuta May 07, 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 7 Mei 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Mei 2025, bei za rejareja na […]

Filed in Habari by on May 7, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Mhe. Albert Gasper Msando amehamishwa kutoka Wilaya ya Handeni […]

Filed in Habari by on May 6, 2025 0 Comments
WALIMU wa Kujitolea Kulipwa Posho

WALIMU wa Kujitolea Kulipwa Posho

WALIMU wa Kujitolea Kulipwa Posho Serikali imetangaza kuanza rasmi utekelezaji wa mwongozo wa kuwatambua na kutoa kipaumbele kwa wanaojitolea katika kazi mbalimbali, hasa pindi zinapotokea nafasi za ajira. Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu, aliliambia Bunge Ijumaa Mei 2, 2025, kuwa mwongozo huo utaanza kutumika rasmi kuanzia Julai Mosi, 2025. Naibu Waziri […]

Filed in Habari by on May 4, 2025 1 Comment
RAIS Samia Apandisha Mshahara Kwa Watumishi 2025

RAIS Samia Apandisha Mshahara Kwa Watumishi 2025

RAIS Samia Apandisha Mshahara Kwa Watumishi 2025, Sasa Kima Cha chini Cha Mshahara ni 500,000. Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa 35.1% mwaka 2025 ambapo kwa ongezeko hili sasa kima cha chini kitapanda kutoka 370,000 hadi 500,000. Akiongea leo May […]

Filed in Habari by on May 1, 2025 0 Comments
TANZIA Papa Francis Afariki Dunia

TANZIA Papa Francis Afariki Dunia

TANZIA Papa Francis Afariki Dunia Papa Francis amefariki Dunia Leo Jumatatu ya Pasaka tarehe 21 April 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake, Casa Santa Marta, Vatican. Muda mfupi uliopita, Mwadhama, Kardinali Farrell, alitangaza kwa masikitiko kifo cha Baba Mtakatifu Francis, kwa maneno haya: “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kubwa sina budi kutangaza […]

Filed in Habari by on April 21, 2025 1 Comment