Admin's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025

Filed in Usaili by on May 15, 2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UDSM 15/05/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM) uliofanyika tarehe 15/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO YA USAILI […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania

NAFASI Za Kazi COPRA Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya udereva kutuma maombi ya kazi kwa nafasi kumi na nne (14) za kuajiri madereva kwa mkataba. ✅DEREVA – NAFASI 14 SIFA ZA MWOMBAJI Mwombaji awe na Cheti […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika NJORECU LTD NJORECU LTD ni chama cha ushirika cha sekondari, kilichosajiliwa tarehe 6 Septemba 2013 kwa usajili Na.5050. NJORECU inaendesha shughuli zake katika wilaya sita ambazo ni Njombe, Wanging’ombe,Ludewa na Makete pamoja na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Halmashauri ya Mji wa Makambako. Jumuiya hiyo hapo awali […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania

NAFASI Za Kazi AA Tanch Trading Tanzania Position: Sales Offices For LPG Supplies (– 4 Posts) Location: Arusha AA Tanch Trading is a Tanzanian company based in Arusha that facilitates international trade, particularly importing goods from China. They offer services like ordering products, consulting on Chinese-made products, and delivering goods directly to customers’ doors. Requirements […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD Position: Yard Officer – ( Post – 01) Work Station: Head OfficeJob listings Platinum Credit Limited is a credit only Micro-Finance Company licensed in Tanzania under the Company’s Act. The company invites applications from suitably qualified candidates to fill the following positions: Key Responsibilities Monitor and verify all repossessed […]

Continue Reading »

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex 25 May 2025 Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeuondoa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam. Taarifa ambayo inadaiwa Simba imeshaipokea ni kwamba CAF imeliagiza Shirikisho la Soka […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi CNS Group Limited

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CNS Group Limited

NAFASI Za Kazi CNS Group Limited CNS Group inasaidia biashara za kimataifa nchini Tanzania kwa masuluhisho ya kina ya rasilimali watu, kuchanganya umahiri wa kimataifa na wa ndani. Biashara yao inaangazia ukuaji endelevu wa biashara, kudhibiti mahitaji ya ajira, na kutoa masuluhisho endelevu ya athari za kijamii kote nchini. Kwa zaidi ya miaka 30 ya […]

Continue Reading »

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane Baada ya taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu CAF kupitia barua yao ya kuwaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho 2024/2025 kati ya Simba dhidi ya Berkane upigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Klabu ya Simba SC, imetoa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank PLC

Filed in Ajira by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank PLC

NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank PLC Position: Senior Manager Recovery The Senior Manager Recovery has primary responsibility of managing the Banks Recovery Unit and lead the proactive monitoring/supervision of non-performing asset. The role focuses on developing and implementing strategic recovery plans for non-performing assets (NPAs), managing recovery teams, ensuring compliance with regulatory requirements, and […]

Continue Reading »

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025 Orodha ya vinara wa mabao Ligi ya NBC Championship 2024/2025, orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Championship 2024/2025. Andrea Simchimba – Geita Gold = 18. Abdulaziz Shahame – TMA FC = 18. Raizin Hafidh – Mtibwa Sugar = 18. Eliud Ambokile – Mbeya City = 12. Yusuph Mbili – […]

Continue Reading »