BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

Filed in Habari by on April 8, 2025 0 Comments
     
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inatangaza Bei za Mafuta kwa Mwezi Aprili 2025 zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Jumatano, Tarehe 09/04/2025.

Mamlaka hupanga bei kwa kuzingatia mambo yafuatayo:

  • Wastani wa mwenendo wa mabadiliko ya bei za Mafuta Duniani (Platts Quatations).
  • Gharama za uingizaji Mafuta katika bandari ya Tanga.
  • Gharama za Mabadiliko ya Fedha za kigeni zinazotumika kununulia mafuta.
  • Gharama za Usafiri, Bima na Premium’ hadi Zanzibar.
  • Kodi na Tozo za Serikali.
  • Kiwango cha faida kwa Wauzaji wa Jumla na Reja Reja.

Bei za mafuta kwa Mwezi Aprili, 2025 ni kama zifuatazo:

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025

Bei za Mafuta kwa Mwezi Aprili, 2025 zimeongezeka kutokana na mabadiliko ya Fedha za kigeni kwa Shilingi ya Tanzania.

Mamlaka inawahimiza Wananchi kununua Mafuta katika Vituo halali vya Mafuta na kudai Risiti za Kielektroniki kila wanaponunua Mafuta.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *