BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025
TAARIFA KWA UMMA JUU YA BEI ZA MAFUTA ZANZIBAR KWA MWEZI MEI 2025.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inatangaza Bei za Mafuta kwa Mwezi Mei 2025 zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Ijumaa, Tarehe 09/05/2025.
Mamlaka hupanga bei kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
- Wastani wa mwenendo wa mabadiliko ya bei za Mafuta Duniani (Platts Quotations).
- Gharama za uingizaji Mafuta katika bandari ya Tanga.
- Gharama za Mabadiliko ya Fedha za kigeni zinazotumika kununulia mafuta.
- Gharama za Usafiri, Bima na ‘Premium’ hadi Zanzibar.
- Kodi na Tozo za Serikali.
- Kiwango cha faida kwa Wauzaji wa Jumla na Reja Reja.
Bei za mafuta kwa Mwezi Mei, 2025 ni kama zifuatazo:

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar April 2025
Sababu za mabadiliko ya Bei za Mafuta kwa Mwezi Mei, 2025 yametokana na mabadiliko ya gharama za uingizaji wa mafuta na mabadiliko ya wastani wa thamani ya Fedha ya kigeni ukilinganisha na Shilingi ya Tanzania.
Aidha, Mamlaka inawahimiza Wananchi kununua Mafuta katika Vituo halali vya Mafuta na kudai Risiti za Kielektroniki kila wanaponunua Mafuta.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
