CAS Yaijibu Yanga Kesi ya pointi 3 za Simba

CAS Yaijibu Yanga Kesi ya pointi 3 za Simba
CAS Yaijibu Yanga Kesi ya pointi 3 za Simba
Katika Mvutano Mkali wa Kisheria, Klabu ya Yanga SC imejikuta ikipata pigo baada ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kutupilia mbali ombi lao la kuzuia kupangwa kwa tarehe ya mechi dhidi ya Simba SC.
Klabu hiyo iliwasilisha maombi ya kutaka mechi hiyo isichezwe hadi pale rufaa yao kuhusu mchezo wa awali dhidi ya Simba itakaposikilizwa kikamilifu.
Hata hivyo, CAS imetoa msimamo kuwa haina mamlaka ya kuzuia upangaji wa ratiba ya mechi, na badala yake imeitaka Yanga kuwasilisha kesi yao ya msingi katika Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Pamoja na hilo, Yanga pia iliiomba CAS iwape pointi 3 na mabao 3 kutokana na mchezo wa awali waliodai Simba walikiuka kanuni.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
