Elimu

Elimu

NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026

Filed in Elimu by on May 15, 2025 0 Comments
NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026

NACTVET Taarifa Kwa Wanaotarajia Kujiunga na Mafunzo Ngazi ya Astashahada na Stashahada 2025/2026 Kuelekea Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET) linapenda kuwjulisha wanafunzi wote Wanaotarajia kujiunga na mafunzo kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kuzingatia yafuatayo pindi dirisha […]

Continue Reading »

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Filed in Elimu by on May 13, 2025 3 Comments
Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025,Selection Form Five 2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2025 na Vyuo vya Kati, Form five Selection 2025. Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara […]

Continue Reading »

TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba

Filed in Elimu, Makala by on May 12, 2025 6 Comments
TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba

TAMISEMI Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Ya Kujitolea/Mkataba Mpango huu unalenga kutumia wafanyakazi wenye ujuzi kwa kuweka wafanyakazi wa kujitolea katika sekta kama vile afya, elimu, kilimo, na utawala wa serikali za mitaa. Wafanyakazi wa kujitolea hawatapata tu uzoefu muhimu wa kazi lakini pia watasaidia huduma muhimu za umma, hasa katika maeneo ambayo hayajahudumiwa. Waombaji […]

Continue Reading »

NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo

Filed in Elimu by on May 8, 2025 0 Comments
NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo

NACTVET Jinsi ya Kuhakiki Udahili wa Vyuo JE! WEWE NI MWANAFUNZI ULIYEDAHILIWA KATIKA VYUO VYA KATI KWA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA? Kama jibu ni ndiyo, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linakusisitiza kuhakiki udahili wako kwa kufuata hatua zifuatazo; ili Kuhakiki Udahili wako Ingia kwenye tovuti ya […]

Continue Reading »

NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart

Filed in Elimu by on May 8, 2025 0 Comments
NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart

NACTVET yazindua Kampeni ya Mwanachuo Smart, Mwanachuo Smart Jihudumie Popote. Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limezindua kampeni ya Mwanachuo Smart yenye lengo la kukuza uelewa wa wanachuo wa ngazi ya Astashahada na Stashahada kuhusu mifumo mbalimbali ya kidigitali ya NACTVET kwaajili ya kujipatia huduma mbalimbali. Kampeni hiyo […]

Continue Reading »

HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake

Filed in Elimu by on May 7, 2025 0 Comments
HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake

HESBL Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara na Majibu yake Maswali 25 pamoja na majibu yake yameandaliwa kumwezesha mwombaji, mzazi, mlezi au mtoa huduma kwa mwanafunzi kuelewa kwa lugha rahisi utaratibu, sifa na vigezo vitakavyotumika katika upangaji mikopo kwa Mwaka 2024/2025. Ingawa Maswali na Majibu haya yamebeba maudhui ya miongozo iliyotolewa, waombaji mikopo na ruzuku kwa […]

Continue Reading »

SIPA Loan Allocation Status 2024/2025

Filed in Elimu, Makala by on May 7, 2025 0 Comments
SIPA Loan Allocation Status 2024/2025

SIPA Loan Allocation Status 2024/2025, SIPA HESLB Account 2024/2025. SIPA Login HESLB. Student’s Individual Permanent Account (SIPA) is the personal account for the higher education loan application for the students who need to join various universities in Tanzania. The government of Tanzania use to provide loans to the students who admitted to join different universities […]

Continue Reading »

HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025

Filed in Elimu by on May 7, 2025 0 Comments
HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025

HESLB Wanafunzi 873 wa Stashahada Wapata Mikopo 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB inawatangazia wanafunzi wote walioomba mikopo kwaajili ya dirisha la mwezi Machi, kwamba jumla ya waombaji 873 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 1,944,922,500.00. Katika awamu hii, mikopo imepangwa kama ifuatavyo: Chakula na Malazi (MA) yenye thamani ya TZS […]

Continue Reading »

MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea

Filed in Elimu by on May 4, 2025 1 Comment
MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea

MWONGOZO wa Walimu wa Kujitolea Mwongozo wa Walimu wa Kujitolea Katika Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari Nlna Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi Tanzania Bara. Mwongozo wa Walimu wa Kujitolea umeandaliwa ili kutoa maelekezo ya namna ya kupata walimu wenye sifa stahiki na kuwaajiri kwa mkataba wa kujitolea, kutoa taratibu za mafunzo kabilishi, kupanga na kutoa […]

Continue Reading »

SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea

Filed in Elimu by on May 4, 2025 0 Comments
SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea

SIFA Za Mwalimu wa Kujitolea Mwalimu wa kujitolea katika Shule za Elimu ya awali, Msingi, Sekondari, na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi anahitajika kuwa na sifa zifuatazo; Awe Raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18. Awe Mhitimu aliyefaulu mafunzo ya Ualimu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe Mmiliki wa vyeti halisi vya kitaaluma na […]

Continue Reading »