Habari

MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030

Filed in Habari by on May 22, 2025 0 Comments
MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030

MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030 Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) inapenda kuwataarifu walimu na Watanzania wote kwa ujumla kuwa chama kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa saba utakaofanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia 28 na 29 May Jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine Mkutano Mkuu huo utafanya uchaguzi […]

Continue Reading »

NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

Filed in Habari by on May 21, 2025 0 Comments
NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025 Meli ya New Victoria hapa kazi tu inayofanya safari zake kutoka Mwanza hadi Bukoba inatarajia kuanza safari tena Alhamisi ya tarehe 22 May 2025 baada ya matengenezo kukamilika. Meli hiyo iliyositisha kutoa huduma za usafiri kuanzia mwezi Machi mwaka huu kwaajili ya kupisha matengenezo […]

Continue Reading »

RAIS Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 19 May 2025

Filed in Habari by on May 19, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 19 May 2025

RAIS Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 19 May 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Prof. Tumaini Nagu ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya […]

Continue Reading »

MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba

Filed in Habari by on May 14, 2025 0 Comments
MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba

MULEBA DC Yanunua Boti MV Muleba Halmashauri ya Wilaya ya Muleba imechukua hatua kubwa kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi wa visiwa 39 vilivyopo Ziwa Victoria kwa kununua boti mpya ya abiria yenye uwezo wa kubeba watu 27 kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 268. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa boti hiyo katika […]

Continue Reading »

TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia

Filed in Habari by on May 11, 2025 0 Comments
TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia

TANZIA: Charles Hilary Afariki Dunia Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025. Charles pia aliwahi mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023. Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara […]

Continue Reading »

ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki

Filed in Habari by on May 8, 2025 0 Comments
ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki

ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki, Pope Leo XIV ndiye Papa Mpya wa Kanisa Katoliki. Robert Francis Prevost raia wa Marekani mwenye Umri wa Miaka 69 ametangazwa kuwa Papa Mpya wa 267 wa Kanisa Katoliki, leo Mei 8, 2025 akichukua nafasi hiyo baada ya kifo cha Papa Francis (88) aliyefariki Aprili 21, 2025. […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025

Filed in Habari by on May 8, 2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar May 2025 TAARIFA KWA UMMA JUU YA BEI ZA MAFUTA ZANZIBAR KWA MWEZI MEI 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inatangaza Bei za Mafuta kwa Mwezi Mei 2025 zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Ijumaa, Tarehe 09/05/2025. Mamlaka hupanga bei kwa kuzingatia […]

Continue Reading »

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia

Filed in Habari by on May 7, 2025 0 Comments
WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya Afariki Dunia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya kilichotokea asubuhi ya leo May 07,2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo. Akitangaza taarifa […]

Continue Reading »

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025

Filed in Habari by on May 7, 2025 0 Comments
BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli May 2025, EWURA Bei Za Mafuta May 07, 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 7 Mei 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Mei 2025, bei za rejareja na […]

Continue Reading »

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025

Filed in Habari by on May 6, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Uteuzi 06/05/2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Mhe. Albert Gasper Msando amehamishwa kutoka Wilaya ya Handeni […]

Continue Reading »