Magazeti

Magazeti

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeagiza mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho baina ya Simba na RSB Berkane uhamishiwe Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kwa mujibu wa barua ya CAF jana iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025 Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Kuwa malengo ya Simba ni kutwaa kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF CC) na wanakwenda kwenye mechi mbili za Fainali dhidi ya RS Berkane wakiwa na kauli mbiu ya TUNABEBA. May 17 Simba itakuwa Morocco kucheza Fainali […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 14 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 14, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 14 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 14 May 2025 Serikali imesema kuwa ili kuhakikisha wanafunzi wote wanaomaliza darasa la sita wanakwenda sekondari, na wanafunzi wa mahitaji maalumu wanapata elimu bora ni lazima wanafunzi wote wa kada ya ualimu wawe na ujuzi wa lugha ya alama. hayo yamesemwa Jumanne Mei 13,2025 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 13 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 13, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 13 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 13 May 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya kubashiri katika mashindano yake yote. Mshirika huyo atashikilia haki hizo kwa kipindi chote cha makubaliano. Hivyo, yeyote […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 12 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 12, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 12 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 12 May 2025 Uongozi wa Kampuni ya Harmonize Ent. Ltd kupitia Lebo yake ya Konde Gang Music Worldwide imetangaza kumsimamisha rasmi Msanii wake, Ibrahim Abdallah Nampunga (Ibraah), kutoa na kushiriki katika shughuli zozote za muziki kama ilivyoainishwa kwenye mkataba wake na lebo hadi pale suala lake litakapopatiwa ufumbuzi wa kudumu kwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 11 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 11, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 11 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 11 May 2025 Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) ambaye pia ni Rais wa Makampuni ya GSM katika mahojiano maalum na Mtangazaji Salama Jabir, amesema moja ya mbinu zake za kufanikiwa ni kutokuogopa kuwekeza sehemu ambazo wengine wameziogopa. Alipoulizwa kuwa yeye ni Boss wa aina gani, Ghalib ameleza yafuatayo “mimi ni Mtu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 10 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 10, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 10 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 10 May 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema amewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho Freeman Mbowe na ameeleza kuwa hana dhamira ya kugombea Urais, Ubunge au uongozi wa Chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mnyika amesema “Natambua kuwa wachache waliojiondoa CHADEMA baadhi yao wamekuwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 09 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 9, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 09 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 09 May 2025 Klabu ya Simba imetajwa kuwa katika mchakato wa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam Fc, Feisal Salum ‘Fei Toto’ Inaelezwa kuwa juzi Rais wa heshima wa Simba Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ alifanya mazungumzo na Wawakilishi wa Fei Toto ambapo kimsingi ‘tajiri’ amempa Fei ofa nono ya mshahara […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 08 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 7, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 08 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 08 May 2025 “Kwa mujibu wa sheria za FIFA, Wizara haiwezi kuingilia swala hilo (mechi ya derby). Swala la Ligi linasimamiwa na TFF na Bodi ya Ligi na kanuni haziruhusu serikali kuingilia, FIFA itaifungia Tanzania. Kwahiyo tunaendelea na juhudi mbalimbali.” Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 07 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 6, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 07 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 07 May 2025 Taarifa za uhakika ni kuwa Simba iko katika mchakato wa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam Fc, Feisal Salum ‘Fei Toto’ Inaelezwa kuwa juzi Rais wa heshima wa Simba Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ alifanya mazungumzo na Wawakilishi wa Fei Toto ambapo kimsingi ‘tajiri‘ amempa Fei ofa nono […]

Continue Reading »