Makala

Makala

MASWALI na Majibu Ajira Portal

Filed in Makala by on September 7, 2025 0 Comments
MASWALI na Majibu Ajira Portal

MASWALI na Majibu Ajira Portal, Maswali yanayoulizwa Mara Kwa Mara UTUMISHI. Katika Makala hii utaweza kuyafahamu Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara na watumiaji wa Ajira Portal pamoja na Majibu yake. A. Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusiana na Usajili, Kusahau Nywila na Ku-reset Password. 1.Najaribu kujisajili ninaletewa ujumbe “The email address you are trying to […]

Continue Reading »

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi Ajira Portal

Filed in Makala by on August 18, 2025 0 Comments
SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi Ajira Portal

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi Ajira Portal BARUA ya Kuomba Kazi UTUMISHI, Jinsi Ya Kuandika Barua Ya Kuomba Kazi UTUMISHI, Sample ya Barua Ya Kuomba Kazi Zote Zinazotangazwa Kupitia Ajira Portal. Barua ya kuomba kazi ni waraka ambao mara nyingi husomwa kabla ya waraka mwingine wowote unaoambatanishwa katika uombaji Kazi. Ni vyema barua hii […]

Continue Reading »

JINSI ya Kupata TIN Number Certificate Mtandaoni

Filed in Makala by on August 18, 2025 2 Comments
JINSI ya Kupata TIN Number Certificate Mtandaoni

JINSI ya Kupata TIN Number Certificate Mtandaoni OTS TRA Tin number online Application, tin number online Download, Online Tanzania TRA TIN number Application. OTS TRA Huu ni utaratibu uliobuniwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kurahisisha au kupunguza muda wa kusubiri kwa watu wanaotaka namba za Utambulisho za Mlipakodi. TRA hutumia huduma ya teknolojia […]

Continue Reading »

Ada Za Lipa Kwa M-Pesa, Makato ya Lipa Kwa M-Pesa

Filed in Makala by on July 30, 2025 1 Comment
Ada Za Lipa Kwa M-Pesa, Makato ya Lipa Kwa M-Pesa

Ada Za Lipa Kwa M-Pesa, Makato ya Lipa Kwa M-Pesa LIPA kwa Simu au LIPA kwa M-pesa ni huduma ya kisasa na jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha Makampuni, Mawakala wa jumla na rejareja na Wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA. Huduma hii ya LIPA kwa Simu imekuja ili kuboresha mazingira ya […]

Continue Reading »

SIFA, Kozi na Maelekezo ya Kujiunga na Chuo cha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)

Filed in Makala by on June 8, 2025 0 Comments
SIFA, Kozi na Maelekezo ya Kujiunga na Chuo cha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)

SIFA, Kozi na Maelekezo ya Kujiunga na Chuo cha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Taasisi ya Meli ya Dar es Salaam (DMI) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 22 ya mwaka 1991 ili kukidhi mahitaji makubwa ya Sekta ya Meli mkoani humo. Taasisi hii (DMI) ilitokana na kile kilichojulikana kama Dar es Salaam […]

Continue Reading »

MFUMO wa Maombi ya Kujiunga na Chuo Cha Serikali Za Mitaa

Filed in Makala by on June 8, 2025 0 Comments
MFUMO wa Maombi ya Kujiunga na Chuo Cha Serikali Za Mitaa

MFUMO wa Maombi ya Kujiunga na Chuo Cha Serikali Za Mitaa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI) kilichopo Dodoma ni taasisi ya Elimu inayotoa Mafunzo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ujuzi na maarifa katika usimamizi wa Serikali za Mitaa na maendeleo ya jamii. Chuo hiki kinatoa Kozi mbalimbali zinazolenga kuboresha utendaji kazi wa watumishi […]

Continue Reading »

BARUA ya Kuomba Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

Filed in Makala by on June 7, 2025 0 Comments
BARUA ya Kuomba Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

BARUA ya Kuomba Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama. Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetangaza nafasi 331 Za Ajira Kwa Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki Mwaka huu 2025. Barua ni Moja ya Sifa zinazotakiwa Katika kujaza Fomu ya Maombi ya Ajira […]

Continue Reading »

MFUMO wa Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama 

Filed in Makala, Ajira by on June 7, 2025 0 Comments
MFUMO wa Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama 

MFUMO wa Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama, Judicial Service Commission – Job Application. Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 113 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania […]

Continue Reading »

DALILI Za Ugonjwa wa Mpox na Jinsi ya Kujikinga

Filed in Makala by on May 29, 2025 0 Comments
DALILI Za Ugonjwa wa Mpox na Jinsi ya Kujikinga

DALILI Za Ugonjwa wa Mpox na Jinsi ya Kujikinga Wizara ya Afya imesema kuwa imejipanga kuudhibiti ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) endapo utaingia nchini. Kauli ya wizara inatokana na taarifa zinazoeleza kuwa ugonjwa huo upo kusini mashariki mwa nchi jirani ya Kenya na Sasa umepatikana nchini baada ya Wizara hiyo kuthibitisha watu wawili kukutwa […]

Continue Reading »