Michezo

Michezo

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeagiza mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho baina ya Simba na RSB Berkane uhamishiwe Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kwa mujibu wa barua ya CAF jana iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Filed in Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025 Klabu ya Yanga itacheza na JKT Tanzania Katika mchezo wa Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 18 May 2025 kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, Jijini Tanga Kuanzia Saa 9:30 alasiri. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog itakuletea Kikosi Cha Yanga […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Filed in Michezo by on May 16, 2025 0 Comments
MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025 Yanga SC itacheza mchezo wake unaofuata dhidi ya JKT Tanzania FC, ukiwa ni mchezo wa Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 28 May 2025 kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, Jijini Tanga Kuanzia Saa 9:30 Usiku. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025

KIKOSI Cha Simba vs RS Berkane 17 May 2025 Simba SC itacheza mchezo wake unaofuata dhidi ya RS Berkane ya Morocco, ukiwa ni mchezo wa Kwanza wa Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 17 May 2025 kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco Kuanzia Saa 4:00 Usiku. Kuelekea mchezo huo, […]

Continue Reading »

MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025

MATOKEO RS Berkane vs RS Berkane 17 May 2025 Simba itacheza na RS Berkane ya Morocco Katika mchezo wa Kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Mchezo huo utapigwa tarehe 17 May 2025 kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane, Morocco Kuanzia Saa 4:00 Usiku. Kuelekea mchezo huo, Habari Web Blog itakuletea Update zote […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

Filed in Ajira, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024

NAFASI Za Kazi CAF CHAN 2024 CAF ambayo ilianzishwa mwaka 1957 ndilo shirikisho la soka barani Afrika, huku Wanachama waanzilishi wakiwa Misri, Sudan, Ethiopia na Afrika Kusini. Katika Kongamano la FIFA mwaka 1954 lililofanyika Berne, Uswizi, lilipigiwa Kura kutambua Afrika kama Shirikisho. Hii iliipa bara la Afrika haki ya kuteua mwakilishi wake wa kwanza kwenye […]

Continue Reading »

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025

SIMBA vs RS Berkane Kupigwa New Amaan Complex 25 May 2025 Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeuondoa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam. Taarifa ambayo inadaiwa Simba imeshaipokea ni kwamba CAF imeliagiza Shirikisho la Soka […]

Continue Reading »

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane Baada ya taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu CAF kupitia barua yao ya kuwaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho 2024/2025 kati ya Simba dhidi ya Berkane upigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Klabu ya Simba SC, imetoa […]

Continue Reading »

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025

WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025 Orodha ya vinara wa mabao Ligi ya NBC Championship 2024/2025, orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Championship 2024/2025. Andrea Simchimba – Geita Gold = 18. Abdulaziz Shahame – TMA FC = 18. Raizin Hafidh – Mtibwa Sugar = 18. Eliud Ambokile – Mbeya City = 12. Yusuph Mbili – […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 15 May 2025 Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Kuwa malengo ya Simba ni kutwaa kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF CC) na wanakwenda kwenye mechi mbili za Fainali dhidi ya RS Berkane wakiwa na kauli mbiu ya TUNABEBA. May 17 Simba itakuwa Morocco kucheza Fainali […]

Continue Reading »