Droo ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025

Droo ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025
Droo ya 32 na 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025
Leo Ijumaa tarehe 07 February 2025 imefanyika droo ya hatua ya 32 na 16 Bora ya Kombe la CRDB Bank Federation 2024/2025
Baada ya kukamilika Kwa droo hiyo, hizi hapa ndio mechi za hatua ya 32 na 16 Bora ya michuano ya CRDB Federation Cup 2024/2025 zitakazochezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Machi 2025.
Katika droo hiyo mabingwa watetezi Young Africans wamepangwa kuanza nyumbani dhidi ya Coastal Union, huku Simba SC nao wakianzia nyumbani dhidi ya TMA FC nao Azam FC pia wataanzia nyumbani dhidi ya Mbeya City FC.
Droo Kamili ya hatua ya 32 na 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.

Ratiba ya hatua ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Hii hapa ratiba ya mechi za hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup baada ya michezo ya hatua ya 32 Bora kukamilika.

Ratiba ya hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
