Droo ya Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

Droo ya Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Droo ya Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) itafanyika tarehe 20 February 2025.
Katika droo hiyo ya robo Fainali Simba itapangwa dhidi ya timu moja miongoni mwa tatu zilizomaliza nafasi ya pili katika kundi B,C na D ambazo ni Stellenbosch, ASEC Mimosas au Al Masry.
Aidha mechi za Robo Fainali zinatarajiwa kupigwa mwezi March na habari njema kwa Simba SC ni kuwa wataanzia ugenini na kumalizia nyumbani kutokana na kuongoza Kundi A.
Droo hiyo itachezeshwa kuanzia saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE kupitia hapa hapa habariweb.com.
LIVE Droo ya CAF 2024/2025
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
