DROO ya Robo Fainali na Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

DROO ya Robo Fainali na Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
DROO ya Robo Fainali na Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeendesha Droo ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.
Baada ya droo hiyo kukamilika hii ni Ratiba ya Robo, Nusu Fainali na Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Ratiba ya Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.
13 April 2025 CRDB Bank Federation Cup
16:00 Simba SC vs Mbeya City
13 April 2025 CRDB Bank Federation Cup
16:00 JKT Tanzania vs Pamba Jiji FC
16:00 Singida Black Stars vs Kagera Sugar
15 April 2025 CRDB Bank Federation Cup
16:00 Yanga SC vs Stand United
Ratiba ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.
- Yanga SC/Stand United vs JKT Tanzania vs Pamba Jiji.
- Simba SC/Mbeya City vs Singida Black Stars vs Kagera Sugar
Mshindi wa mchezo wa Yanga vs Stand United atacheza na Mshindi wa JKT Tanzania vs Pamba Jiji kwenye Nusu Fainali ya Kwanza
Mshindi wa mchezo Simba vs Mbeya City atacheza na Mshindi kati ya Singida Black Stars vs Kagera Sugar FC Nusi Fainali ya Pili.
Ratiba ya Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.
Mshindi wa Nusu Fainali ya Kwanza atacheza dhidi ya Mshindi wa Nusu Fainali ya Pili.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: DROO ya Robo Fainali na Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025