Feisal Salum akubali Kutua Simba SC

Filed in Michezo by on May 30, 2025 0 Comments
     
Feisal Salum akubali Kutua Simba SC

Feisal Salum akubali Kutua Simba SC

Feisal Salum akubali Kutua Simba SC

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Faisal Salum Abdallah ameridhia kujiunga na klabu ya Simba SC baada ya kupewa ofa kubwa ya milioni 800 kama ada ya usajili.

Katika Mkataba huo, Feisal Salum atapewa Mshahara wa milioni 50 kwa mwezi na atapewa nyumba na gari pia atapewa bonasi kila akifunga goli au kutoa usaidizi wa goli (assist).

Kwa sasa Simba wanamalizana na Azam, Pia Azam haina shida yoyote kuhusu kumwachia nyota huyo akifuata masharti ya kimkataba.

Naye Meneja wa Feisal Salum Abdallah amesema kuwa hakuna kipengele chochote Cha iwapo Feisal akiuzwa nchini klabu ya Yanga inapewa Pesa.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *