Ibrahima Keita atajwa Yanga

Filed in Michezo by on May 9, 2025 0 Comments
     
Ibrahima Keita atajwa Yanga

Ibrahima Keita atajwa Yanga

Ibrahima Keita atajwa Yanga

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Baada ya majeraha ya nyama za paja ya muda mrefu aliyoyapata beki wa Yanga Yao Kouassi, Klabu ya Yanga inafanya utaratibu wa kumpata Mbadala wake.

Klabu hiyo imepanga Kumsajili beki Ibrahima Keita, raia wa Mauritania mwenye umri wa miaka 23 Kutoka TP Mazembe ya DR Congo.

Aidha Keita sio jina geni kwenye vitabu vya Yanga kwani jina lake kwa mara ya kwanza lilitua Jangwani tangu Wakati wa Kocha Nasredine Nabi.

Baada ya Nabi kuondoka, aliyesajiliwa ni Yao Kouassi akichukua nafasi ya Djuma Shaban, huku Keita akitua TP Mazembe Kutoka Bobigny U19 ya Ufaransa.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *