JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

Filed in Makala by on April 8, 2025 0 Comments
     
JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jinsi ya Kuangalia kama Umechaguliwa Kwa Usaili Ajira Portal, Jinsi ya kujua kama umeitwa kwenye Usaili UTUMISHI.

Katika Makala hii utaweza kujifunza namna ya Kuangalia kama umechaguliwa au hujachaguliwa kwenye usaili ikiwa umetuma maombi ya Ajira kupitia tovuti ya ajira.

Kwa kufuata hatua zifuatazo hapa chini utaweza kuona hali ya ombi lako

  • Ingia kwenye akaunti yako kupitia link hii portal.ajira.go.tz
  • Ingiza barua pepe (email) yako kama jina la mtumiaji na Password yako.
  • Bofya menyu ya MAOMBI YANGU.
  • Utaona orodha yote ya programu yako pamoja na taarifa yake.
  • Ukichagua utaona neno Orodha fupi.
  • Ikiwa haujachaguliwa utaona neno haijaorodheshwa na sababu za kwanini.

Kwa waombaji waliochaguliwa utaona namba ya mtihani wa Usaili lakini pia utaona ratiba ya usaili na eneo la usaili utakapofanyika.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *