JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

Filed in Elimu by on May 4, 2025 0 Comments
     

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii utaweza Kufahamu namna au Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Sita mwaka 2025,NECTA hutoa Matokeo Kupitia hayo tovuti yao rasmi.

Fuata hatua hizi hapa chini ili Kuangalia Matokeo yako:

  • Tembelea Tovuti ya NECTA.
  • Fungua kivinjari chako na andika anwani ya tovuti ya NECTA www.necta.go.tz.
  • Nenda Sehemu ya Matokeo.
  • Katika ukurasa wa nyumbani, tafuta na bonyeza sehemu iliyoandikwa “Matokeo” au “Results”.
  • Chagua “Matokeo ya ACSEE”.
  • Kutoka kwenye Orodha ya Mitihani, chagua “Matokeo ya ACSEE” ambayo ni matokeo ya Kidato cha Sita au form six results.
  • Chagua Mwaka wa Mtihani.
  • Baada ya kuchagua ACSEE, utaona orodha ya miaka.
  • Chagua mwaka husika 2025.
  • Orodha ya Shule zote zilizofanya Mtihani huo itaonekana.
  • Tafuta jina la Shule yako na bonyeza ili kuona matokeo ya shule hiyo.
  • Baada ya kufungua Matokeo ya Shule yako, tafuta jina lako ili kuona matokeo yako binafsi.

Kwa wale ambao hawana Smartphone au intaneti, NECTA inatoa huduma ya kuangalia matokeo hayo kupitia USSD.

Fuata hatua hizi kuangalia Matokeo hayo Kwa njia ya USSD.

  • Piga *152*00# fuata hatua zote zinazofuata na huduma hii inaweza kupatikana kwa gharama Tshs 100 kwa kila SMS.

Pia Unaweza kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Sita hapa.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *