Jinsi ya Kufahamu Kama namba yako ya NIDA imeshatoka

Jinsi ya Kufahamu Kama namba yako ya NIDA imeshatoka
Jinsi ya Kufahamu Kama namba yako ya NIDA imeshatoka
Kupitia Makala hii utaweza kufahamu kama namba yako ya NIDA imeshatoka baada kujiandikisha.
Kufahamu kama namba yako ya NIDA ishatoka fuata maelekezo yafuatayo;
- Ingia kwenye Tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz).
- Fungua neno huduma mtandaoni kwenye ukurasa wa mbel.
- Au fungua link:-
https://services.nida.go.tz/ kisha chagua Fahamu NIN na fuata maelekezo.
Tafadhali Piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja kupitia namba 023 2210500 au Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya Wilaya iliyo karibu nawe kwa msaada zaidi.

Jinsi ya Kufahamu Kama namba yako ya NIDA imeshatoka
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.