JINSI ya Kuhuisha taarifa zako Ajira Portal

JINSI ya Kuhuisha taarifa zako Ajira Portal
JINSI ya Kuhuisha taarifa zako Ajira Portal
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS) imewataka Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30 Mei 2025, kuhuisha (update) taarifa zao katika akaunti ya ajira portal, kwa kuainisha mahali walipo kwa sasa ili wapangiwe kituo cha usaili kilicho karibu na eneo walipo.
Hapa chini tumekuwekea Muongozo wa Kuhuisha/ Update taarifa zako kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal.
- Ingia kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal
- Chagua sehemu ya Person Details.
- Chagua Contact Details
- Chagua badili Carrent Resident Region na Carrent Resident District na weka Mkoa ambao unahitaji kufanyia Usaili wa Kuandika Mchujo.
Aidha unapaswa kufanya zoezi hili kabla ya tarehe 15 May 2025.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
