JINSI ya Kupata IMEI Number baada ya Kuibiwa Simu

Filed in Makala by on May 22, 2025 0 Comments
     
JINSI ya Kupata IMEI Number baada ya Kuibiwa Simu

JINSI ya Kupata IMEI Number baada ya Kuibiwa Simu

JINSI ya Kupata IMEI Number baada ya Kuibiwa Simu

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

GOOGLE ina uwezo wa kukuonesha IMEI number yako ya Simu endapo Umeibiwa Simu na IMEI Number huikumbuki.

Imetokea umeibiwa Simu au umeidondosha na hukufanikiwa kutunza box la Simu au IMEI yako hivi ndivyo unavyoweza kuirudisha!

Fungua Browser yako na uingie, www.google.com/dashboard

Login in kwa email yako uliyotumia kufungua simu hiyo na uende sehemu iliyoandikwa Android backups kisha Click.

Hapo utakuta Simu zako zote ulizowahi kutumia kwenye account yako hiyo ya Google.

Baada ya hapo angalia upande wa kushoto juu utaona alama ya Settings, Click hiyo alama kisha kwa chini utaona IMEI, ambayo Sasa unaweza kuipeleka polisi kwaajili ya kuipata hiyo simu yako.

Location ya Simu yako ilipo utaiona hapo hapo juu ya sehemu iliyoandikwa device Settings.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *