JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

Filed in Makala by on March 2, 2025 0 Comments
     
JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Hatua za kufuatwa na mwombaji aliyepoteza Kitambulisho cha Taifa ili kuchapishiwa kingine;

  • Wasilisha fomu ya polisi ya upotevu wa mali/vitu, katika Ofisi ya Usajili ya NIDA ya Wilaya iliyo karibu nayo ili apatiwe Namba ya Malipo ya Serikali (Controll Number).
  • Fanya malipo ya TZS 20,000/= kupitia Namba ya Malipo (Control Number) uliyopatiwa kwa wale waliopoteza kwa mara ya kwanza.
  • Jaza fomu ya Usajili Upya kwaajili ya kuhuisha taarifa zako za Usajili kwa zilizobadilika kama makazi, ndoa, elimu n.k.
  • Weka Viambatisho vyote ambavyo hukuviwasilisha NIDA wakati wa Usajili wa awali au kutokana na mabadiliko uliyoyafanya kama vinavyosomeka kwenye fomu ya Usajili Kipengele F: Kumbukumbu Binafsi (Na. 47 hadi 58).
  • Wasilisha risiti ya malipo kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA iliyo karibu nawe kukamilisha taratibu zilizosalia ikiwemo ya kupigwa picha upya kwa mwombaji mwenye uhitaji huo.
JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho Cha NIDA Kilichopotea

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *