JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online Tausi Portal

JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online Tausi Portal
JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online Tausi Portal
Kupitia Ukurasa huu utaweza kujifunza namna ya Kujisajili na Kupata Leseni ya Biashara yako Online Kwa kutumia Mfumo wa TAUSI.Tausi Portal Login – Leseni ya Biashara (TAMISEMI).
Kuweza Kujisajili na Kudownload Leseni yako ya Biashara tafadhali fuata hatua hizi zote hapa chini.
kompyuta yako na kisha andika anuani
ifuatayo https://tausi.tamisemi.go.tz

hivyo mtumijiaji atachagua njia moja
wapo.

kwanza itakutaka kujibu kwa usahihi
maswali yanayo husiana na taarifa
zako za NIDA na endapo utafanikiwa
kujibu kwa usahihi mfumo utakupokea.
(OTP), Nywila hii hupatikana baada ya
mtumiaji mpya kungiza namba yake ya
NIDA na namba ya simu iliyotumika
kwenye NIDA na kuomba OTP.

maswali mbalimbali yahusuyo taarifa
zako za NIDA.

- Chagua chaguo la kwanza wakati
wa usajili. - Ingiza namba yako ya NIDA kwa
ufasaha kisha bonyeza kitufe cha
search - Baada ya kuchagua itakupasa
kujibu maswali yote yahusuyo
NIDA kwa usahihi - Baada ya hapo mfumo utakupokea.

ili kuweza kuendelea katika kipengele cha maswali.

kama mfumo utakavyokuwa unakuhitaji
MASWALI YOTE KWA UFASAHA, MFUMO UTAKURUHUSU KUJISAJILI NA UTAPATA UJUMBE WA KUFANIKIWA.

mahususi (OTP)
- Chagua chaguo la pili wakati wa usajili.
- Baada ya kuchagua itakupasa kuingiza namba yako ya NIDA kwenye box la kwanza na namba yako ya simu ambayo umesajili kwa kutumia namba yako ya NIDA kwenye box la pili.
- Baada ya hapo bofya kitufe kilichooandikwa Request OTP.
Njia hii ya kujisajili kwa kutumia Nywila
mahususi (OTP).
- Ingiza namba yako ya NIDA (NIN) kisha
- Subiri na utapokea ujumbe mfupi wa maandishi (sms) kutoka namba 15200 kupitia namba yako ya simu iliyosajiliwa na NIDA yako
- Ingiza namba sita ulizopokea kwenye viboksi katika menyu ya usajili.
- Ingiza barua pepe yako(Email) kwa
usahihi katika box namba moja. - Ingiza namba yako ya simu
kwa usahihi katika box namba mbili. - Tengeneza Nywila(Password)
ambayo utakuwa unaitumia katika
kuingia katika mfumo wa mapato (TAUSI).
KUNGIA KWENYE MFUMO BAADA YA KUJISAJILI
Kwa waliokwisha kujisajili katika mfumo
wa TAUSI.
Fuata hatua zifuatazo:-
- Hakikisha kifaa chako kimeunganishwa na intaneti
- Ingia katika kivinjari (Browser)
- Andika anuani ya mfumo https://tausi.tamisemi.go.tz
- Kisha bofya neno Ingia “Sign In”

upande wa juu kulia, kisha bonyeza Wasifu wangu “My profile” halafu bonyeza maneno INDIVIDUAL TIN DETAILS.

umeyaridhia.



kuona mpangilio wa kodi mbalimbali katika mfumo.

kitufe kilichoandikwa Application.



Halmashauri ambayo unaombea leseni yako kisha bonyeza NEXT.


lililosajiliwa rasmi.
- Chagua kundi kuu la biashara
- Chagua aina ya biashara
- Chagua muda wa leseni unayoomba
(mfano mwaka, miaka 2, miaka 3) - Andika namba ya TAX CLEARANCE
- Chagua Kata ambapo biashara yako
itakuwepo - Chagua Mtaa
- Andika Block number
- Andika Plot number
- Kisha, bonyeza Next->

za biashara zilizojazwa.


- Pakia nyaraka mbalimbali kadri
zinavyohitajika katika mfumo kwa
kubofya neno Choose. - Ukisha bofya tafuta eneo katika kifaa chako ambapo viambatanisho
umeviweka kisha pakia nyaraka moja baada ya nyingine.
NB: Hakikisha nyaraka zako zinakuwa
katika fomati ya PDF.
Baada ya kupakia viambatanisho
hivyo:
- Mfumo utakuonyesha muda na
tarehe ambapo viambatanisho vimepakiwa - Mfumo utakupa.nafasi ya
kuondoa kiambatanisho kama umekosea kwa ku Delete - Kama taarifa zote zipo sahihi
bofya Next->
Hakiki taaarifa zako zote
katika vipengele vifuatavyo:-
- Application Details
- Principal Business Information
- Business Contact
- License Issuing Authority
- Kama taarifa zote zipo sahihi bofya kitufe cha SAVE ili kuweza kutuma
taarifa zako Halmashauri kwa hatua zinazofuata.
Hakiki taaarifa zako zote katika vipengele vifauatavyo:-
- Application Details
- Principal Business Information
- Business Contact
- License Issuing Authority
Kama taarifa zote zipo sahihi bofya kitufe cha SAVE ili kuweza kutuma taarifa zako Halmashauri kwa hatua zinazofuata.
Baada ya kuwasilisha maombi yako Maafisa watayaona maombi yako
na kufanya mambo yafuatayo:
- Ukaguzi wa nyaraka kama zipo sahihi
- Kuangalia usahihi katika ujazwaji wa fomu yako
- Baada ya kila kitu kukamilika na kukubaliwa, mfumo utakupa
kumbukumbu ya malipo “Control number” na utalipia kisha utachapisha “Print” leseni yako katika mfumo.
JINSI YA KUPAKUA LESENI YA BIASHARA
Bonyeza neno Leseni ya Biashara ili uweze kupakua “Download” leseni yako.
Bonyeza nukta tatu chini ya neno Actions, kisha bonyeza neno Print License kupakua leseni yako.
Kama unapata Changamoto yoyote Katika kutumia Mfumo wa TAUSI basi wasiliana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri yako au Kituo Cha huduma Kwa Wateja Kwa WhatsApp namba +255735-160-210 au Piga Simu namba +25526-232-1234 au email ps@tamisemi.go.tz
Chanzo: Nijuze Habari
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online Tausi Portal