JINSI ya Kutuma Maombi JWTZ 2025

JINSI ya Kutuma Maombi JWTZ 2025
JINSI ya Kutuma Maombi JWTZ 2025, Jinsi ha Kutuma Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
April 30, 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye Elimu ya kidato cha nne hadi Elimu ya Juu.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KWA MAKUNDI YOTE MAWILI 2025
Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 hadi tarahe 14 Mei, 2025 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:-
- Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au nambari ya NIDA.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
- Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
- Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.
MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO
Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: JINSI ya Kutuma Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), JINSI ya Kutuma Maombi JWTZ 2025
Ajira
Naitaji kujitolea kwa ajir ya inch yangu
MAOMBI
Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
Nipo tayari kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
Namn ya kutuma maomb jwtz
Naomba kujiunga na jeshi Kwa sababu Kila kitu ninacho ila nashndwa jinsi ya kutuma maombi ya moja Kwa Mona
USHIEIKIANO NDIO NGUZO YA USHINDI
Nahitaji kujiunga na jeshi la wananchi wa Tanzania maan nahitaji kulipambania taifa langu mpaka kifo
Nawezaje kutuma maombi kweny jwtz
USHINDI WA PAMOJA NDIYO USHINDI WENYE NGUVU NA AMANI PIA UPENDO
Nip tayari kujiunga na jeshi
Naomba mnipe nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania kwa lengo la kuilinda nchi yangu
Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania
Naahidi kulipambania jeshi la nchi yangu kwa moyo mmoja naombn nafasi
mm japhet emanuel mtenga kijana wa miaka kumi na tisa mkazi mlandizi-kibaha nipo teyar kwa lolote kwa ajiri ya nchi na mali zake wako mjenzi wa taifa la kesho
Namna ya kutuma maombi ya kujiunga na jeshi