KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Al Masry 28 Machi 2025

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Masry 28 Machi 2025
KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Al Masry 28 Machi 2025
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya Leo Alhamisi ya Machi 28,2025 kuelekea nchini Misri Kwaajili mchezo wa mkondo wa kwanza robo Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2024/2025) dhidi ya Al Masry utakaopigwa April 02,2025 kwenye uwanja wa Suez nchini humo Kuanzia saa 1:00 Usiku.
Kikosi Kamili Cha Simba SC Kinachoifuata Al Masry tarehe 28 Machi 2025.
MAKIPA
1:Moussa Camara
2:Hussein Abel
3:Ally Salim
MABEKI
4:Chamoe Karaboue
5:Mohamed Hussein
6:Shomari Kapombe
7:Abdurazack Hamza
8:Kelvin Kijili
9:Valentino Nouma
10:David Kameta
VIUNGO
11:Fabrice Ngoma
12:Yusuph Kagoma
13:Elie Mpanzu
14:Ladack Chasambi
15:Debora Fernandes
16:Awesu Awesu
17:Kibu Denis
18:Augustine Okejepha
19:Joshua Mutale
20:Jean Charles Ahoua
WASHAMBULIAJI
21: Steven Mkwala
22:Leonel Ateba
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

kila la kheri clabu ya simba katka mchezo wa talehe 2 april 2025.