KIKOSI Cha Simba vs Mashujaa 02 May 2025

KIKOSI Cha Simba vs Mashujaa 02 May 2025
KIKOSI Cha Simba vs Mashujaa 02 May 2025
Klabu ya Simba itacheza dhidi Mashujaa FC Katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Leo Ijumaa tarehe 2 May 2025.
Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 10:00 Jioni.
Hiki hapa Kikosi Kamili Cha Simba kinachoanza dhidi ya Mashujaa FC Leo.
1:Moussa Camara
2:David Kameta
3:Valentino Nouma
4:Abdurazack Hamza
5:Chamou Karaboue
6:Yusuph Kagoma
7:Edwin Balua
8:Debora Fernandes
9:Leonel Ateba
10:Awesu Awesu
11:Elie Mpanzu

Kikosi Cha Mashujaa FC vs Simba SC Leo 02 May 2025

Kikosi Cha Simba vs Mashujaa FC 02 May 2025
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
