KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025
Yanga SC vs Simba SC ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata na mchezo Mkubwa Afrika Mashariki unaosubiriwa na maelfu ya watu nchini na Afrika Kwa ujumla.
Mchezo huo utachezwa Leo Jumatano tarehe 25 June 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 11:00 Jioni.
Hiki hapa ni Kikosi Cha Simba Sc kinachoanza vs Yanga SC Leo tarehe 25 June 2025.
1:Moussa Camara
2:Shomari Kapombe
3:Mohamed Hussein (C)
4:Chamou Karaboue
5:Che Fondoh Malone
6:Yusuph Kagoma
7:Joshua Mutale
8:Fabrice Ngoma
9:Steven Mkwala
10:Jean Charles Ahoua
11:Elie Mpanzu

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
