KITABU Cha Mwongozo wa Udahili 2025/2026

KITABU Cha Mwongozo wa Udahili 2025/2026
KITABU Cha Mwongozo wa Udahili 2025/2026, Admission Guidebook for Academic Year 2025/2026.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ina jukumu la kutengeneza mwongozo wa udahili kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ambao unaelezea mahitaji ya kuingia na taratibu za programu za shahada ya kwanza.
Kitabu hiki cha mwongozo, kinapatikana kwa waombaji wote wa Kidato cha Sita na wale walio na Diploma za Kawaida/ wanaolingana nao, ni nyenzo muhimu kwa wanafunzi watarajiwa na vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania.
NACTVET imesema kuwa Kozi zinazoombwa na vyuo vinavyotoa kozi hizo mwaka wa Masomo 2025/2026 vimeorodheshwa kwenye Kitabu cha Mwongozo wa Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 (Admission Guidebook for Academic Year 2025/2026) ambacho kimeambatanishwa hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: Admission Guidebook for Academic Year 2025/2026, KITABU Cha Mwongozo wa Udahili 2025/2026