Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Bagamoyo anawatangazia Waliofaulu Kwenye Usaili wa Ajira ya muda Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kuwa, Wanahitajika Kufika Kwenye Semina Katika Ukumbi Wa Shule ya Sekondari Bagamoyo Tarehe 10/02/2025 na 11/02/2025 Kuanzia Saa 1:30 asubuhi kwaajili ya Semina ya Uboreshaji wa Daftari la Walioteuliwa
Kudumu la Wapiga Kura, 2025.

Wale wote Wanatakiwa Kufika kwa Wakati bila ya Kuchelewa.

Kwa wale wote ambao Majina yao hayapo Katika Orodho hii ya Kuitwa Kwenye Semina Wasifike Katika Kituo Cha Semina Kwani hawakupata Nafasi ya Kufanya Kazi katika zoezi hili.

Hata hivyo Afisa Mwandikishaji anawakaribisha Kujaribu Kuomba Kazi Katika Mazoezi yanayofuata
Wanaotakiwa Kufika ni hawa Waliorodheshwa hapa Chini kwenye PDF.

KUONA MAJINA BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *