Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Chalinze anapenda kuwatangazia kuwa, waliotajwa na Tangazo hili wamefaulu usaili wa Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR KIT OPERATOR) uliofanyika tarehe 25 January, 2025.
Waliofaulu usaili wanatangaziwa kuwa Mafunzo yatafanyika tarehe 10/02/2025 na 11/02/2025 katika Shule ya Sekondari Lugoba kuanzia saa mbili kamili (02:00) asubuhi.
Kila Mshiriki afike na moja ya Vitambulisho vifuatavyo:-
- Passport
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
- Kitambulisho cha kazi
- Leseni ya Udereva.
Ikiwa jina lako halikuonekana kwenye orodha hii tambua kuwa haukufaulu usaili na kuchaguliwa, unakaribishwa kushiriki wakati mwingine.
Pamoja na Tangazo hili, orodha hii inapatikana katika mbao za matangazo za Ofisi za Kata na Vijiji, na pia kupitia PDF iliyoambatanishwa hapa chini!
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
