Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Handeni Mjini, kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani Na. I ya Mwaka 2024 pamoja na Kanuni ya 12(1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024, anapenda kuwatangazia wale wote waliofanya usaili tarehe 25 Januari 2025 kwa nafasi za Mwendesha Kifaa cha Bayometriki na Afisa Mwandikishaji Msaidizi, kuwa orodha ya waliofaulu usaili huo na kuchaguliwa kuendelea na mafunzo imekamilika rasmi.

Mafunzo haya yatafanyika kuanzia tarehe 10 hadi 11 Februari 2025 katika Ukumbi wa Macheto kuanzia saa mbili asubuhi.

Wote walio kwenye orodha hii wanatakiwa kufika kwa wakati na kuzingatia tarehe na muda uliopangwa.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *