Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

Filed in Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye usaili Ajira za muda Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (INEC) 2024/2025.

Orodha hiyo inatoka Katika halmashauri mbalimbali nchini na imeambatanishwa hapa chini;

Endapo hauoni Halmashauri yako na Ratiba inaonesha imefikiwa tunakushauri kutembelea Ofisi za Kata ulipojiandikia kwaajili ya kuona jina lako.

Hilo linatokana na baadhi ya Halmashauri kutokuweka wazi Majina hayo badala yake hubandika kwenye Ofisi za Kata husika.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *