Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji Wa Jimbo La Gairo Anawataarifu Waombaji Wa Kazi Ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa Vya Bayometriki Kuwa Usaili Umepangwa Kufanyika tarehe 11/2/2025 hadi tarehe 15/2/2025 Katika Maeneo Mbalimbali ya Halmashauri, Muda pamoja na eneo la Kufanyia Usaili ni kama Ilivyoainishwa Katika Orodha ya Kuitwa Kwenye Usaili.

Wasailiwa Wanatakiwa Kuwasili Wakiwa na Nakala Halisi (Original) za Vyeti Vilivyoorodheshwa hapa Chini: –

  • Cheti Cha Kuzaliwa
  • Cheti Cha Kidato Cha Nne
  • Kitambulisho Cha NIDA
  • Cheti Cha Kompyuta (Kwa Waombaji wa BVR)

Kujiandikisha kuwa mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora” Jitokeze kujiandisha au kuboresha Taarifa zako katika Daftari la kudumu la Wapiga Kura, tarehe 01 hadi 07 Machi 2025

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *