Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Handeni Vijijini kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Raisi, Wabunge na Madiwani NA. 1 ya Mwaka 2024 pamoja na kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura za mwaka 2024, anawatangazia waombaji wote wa nafasi ya Mwendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki (BVR Operator) na nafasi ya Afisa Mwandikishaji Msaidizi waliochaguliwa kufika katika usaili utakaofanyika siku ya tarehe 13, February, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Handeni Kuanzia saa 2 kamili Asubuhi.
Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:-
- Muda wa Kuanza Usaili ni saa 2:00 Asubuhi
- Msailiwa atajigharamia usafiri, chakula na malazi
- Msailiwa afike katika usaili akiwa na kitambulisho chochote kinachotambuliwa na Serikali au barua ya utambulisho kutoka Ofisi
- Awe na cheti halisi cha Kidato cha Nne.
Waombaji wafuatao wanatakiwa kufika katika usaili;
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council