Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilombero kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 12 (1) cha Kanuni ya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ya mwaka 2024 anapenda kuwatangazia wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa
kwenye usaili wa nafasi za kazi ya muda mfupi ya Waandishi Wasaidizi na
Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Usaili utafanyika kwa Tarafa kwa
kuzingatia ratiba ifuatayo;
- Tarafa ya Kidatu Usaili utafanyika siku ya Jumatano tarehe 12/02/2025
katika ukumbi wa TANESCO kuanzia saa 2:00 asubuhi. - Tarafa ya Mang’ula Usaili utafanyika siku ya Alhamisi tarehe 13/02/2025 katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Mwaya kuanzia saa 2:00 asubuhi.
- Tarafa ya Ifakara Usaili utafanyika Siku ya Ijumaa tarehe 14/2/2025 katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo kuanzia saa2:00 asubuhi.
Kila Msailiwa anatakiwa kuzingatia yafuatayo;
- Kufika na kitambulisho chenye picha
- Kufika na vyeti vyake halisi vilivyotumika wakati wa kuomba kazi hii
- Kila Msailiwa atajigharamia chakula na usafiri.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali utakapofanyika usaili.
USAILI BVR TARAFA YA IFAKARA
USAILI BVR TARAFA YA KIDATU
USAILI BVR TARAFA YA MANG’ULA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council