Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Mlimba anapenda Kuwatangazia Waombaji wote wa Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki walioorodheshwa Kwenye tangazo hili Kuwa, Usaili wa nafasi hizo utafanyika tarehe 13/02/2025 Kuanzia Saa 3:30 asubuhi Katika Ukumbi w Shule ya Sekondari Nakaguru Kwa Wale Wanaotoka Kata Za Idete, Namwawala, Mofu, Mbingu, Igima, Mchombe, Mngeta, Chita Na Ching’anda na Ukumbi wa Mlimba Day kwa Waombaji wanaotoka Kata za Chisano, Kalengakelu, Mlimba, Kamwene, Utengule, Masagati Na Uchindile.

Maelezo Ya Jumla;-

  • Kila msailiwa anatakiwa kuja na Simu Janja (Smart Phone).
  • Kila Msailiwa Anapaswa Kuwa Na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
  • Vitambulisho Vinavyokubalika Ni Pamoja Na Kitambulisho Cha Mpiga Kura, Kitambulisho Cha Uraia, Hati Ya Kusafiria Na Kitambulisho Cha Kazi.
  • Wasailiwa Wanaelekezwa Kufika Na Vyeti Vyao Halisi Kuanzia Cheti Cha Kuzaliwa, Kidato Cha Nne, Kidato Cha Sita, Stashahada, Shahada NK.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *