Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

Filed in Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
     
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Pangani kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024 pamoja na Kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024, anawatangazia waombaji wote wa Nafasi ya Mwandishi Msaidizi na Nafasi ya Mwendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki waliochaguliwa kufika katka Usai utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Februari, 2025 katika Ukumbi wa YMCA uliopo Mkoma kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:-

  • Msailiwa atajigharamia usafiri, Chakula na Malazi.
  • Kila msaliwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi vitambulisho vinavyo mtambulisha ni pamoja na: – Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Uraia (NIDA), Kitambulisho cha Mpiga kura au Hati ya kusafiria (Passport) na Leseni ya Udereva.
  • Awe na cheti halisi cha Kidato cha Nne.

Orodha ya waombaji waliochaguliwa kufika katika usaili ni kama ifuatavyo:-

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *