KUNDI la Tanzania AFCON 2025 Morocco

KUNDI la Tanzania AFCON 2025 Morocco
KUNDI la Tanzania AFCON 2025 Morocco
Shirikisho la soka Afrika (CAF) leo January 27 limechezesha droo ya kupanga Makundi ya michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco mwezi Kuanzia tarehe 21 December 2025 hadi hadi 18 January 2026
Tanzania imepangwa Kundi C na Mataifa ya Tunisia, Uganda na Nigeria ambao ni Mabingwa mara tatu wa michuano hiyo.
Hii ni AFCON ya pili mfululizo kwa Tanzania kushiriki ya nne katika historia yake ya Soka.
Droo hiyo imefanyika jijini Rabat nchini Morocco.
Group C
Nigeria
Tunisia
Uganda
Tanzania

Tanzania Yapangwa Kundi C AFCON 2025
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
