LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

Filed in Michezo by on January 28, 2025 0 Comments
     
LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) imetajwa kuwa ya nne kwa ubora Barani Afrika na ya 57 Duniani kwa mwaka 2024 ikiipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia.

Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) Ligi Kuu ya Tanzania imepanda nafasi mbili kutoka nafasi ya sita (6) mwaka 2023, huku mafanikio hayo yakitajwa kutokana na juhudi za vilabu vikubwa nchini vya Simba na Yanga.

LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya yashika nafasi ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024Klabu ya Simba imetengeneza historia kwa kufika hatua ya makundi ya michuano ya CAF mara sita mfululizo, wakati Yanga ikitinga robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2023/2024 na kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF msimu wa 2022/2023.

Ligi ya Misri yenyewe imeshika nafasi ya kwanza, Botola ya Morocco ya pili, League A ya Algeria ya tatu Ligi Kuu Tanzania Bara ya nne na Ligue Pro 1 ya Tunisia ikifunga tano bora Afrika Mwaka 2024.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!