Maaadiliko ya tarehe ya Kuitwa Chuoni Uhamiaji

Maaadiliko ya tarehe ya Kuitwa Chuoni Uhamiaji
Maaadiliko ya tarehe ya Kuitwa Chuoni Uhamiaji
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Awali ya Uhamiaji, ambao walitakiwa kuripoti katika chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025, kuwa wanatakiwa kuripoti rasmi chuoni tarehe 05 Machi, 2025 kuanzia saa 02:00 Asubuhi hadi saa 8:30 mchana.

Maaadiliko ya tarehe ya Kuitwa Chuoni Uhamiaji
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.