MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II Dar Es Salaam

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II
MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II Dar Es Salaam
Haya hapa Mabadiliko ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) Kwa Mkoa wa Dar Es Salaam
Waombaji kazi wa kada Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) waliopangwa kufanya usaili wa mahojiano katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Dar es salaam kuwa, sasa usaili huo utafanyika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma zilizopo jengo la Utumishi Kivukoni Dar es salaam tarehe 12 Juni,2025.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II, MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano Kada ya Afisa Utalii Daraja la II Dar Es Salaam