MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI April 2025

Filed in Usaili by on April 10, 2025 1 Comment
     
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI April 2025

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI April 2025

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI April 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo Kwa Kada ya Assistant Producer II, Record Management Assistant II, Radiographic Technician II na Launderer II

Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Assistant Producer (News writing), Record Management Assistant II (Health),Radiographic Technician II na Launderer II mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo.

Waombaji kazi wa Kada ya Assistant Producer II (News writing) mnajulishwa kuwa usaili wa vitendo utafanyika tarehe 05.05.2025 Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM-CIVE COMPUTER LAB) badala ya Ofisi za TBC Dodoma kama ilivoelekezwa kwenye tangazo la awali.

Kwa waombaji wa kada ya Records Management Assistant II (Health) mnajulishwa kuwa kutakuwa na usaili wa vitendo utakaofanyika tarehe 11.05.2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).

Kwa kada ya Radiographic Technician II na Launderer II mnajulishwa kuwa usaili wa vitendo utafanyika tarehe 11.05.2025 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) badala ya tarehe 14.05.2025.

Aidha, kwa kada ambazo mwajiri wake ni Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 12.05.2025 na kwa kada zingine usaili wa mahojiano utafanyika kulingana na tarehe iliyopo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Ibrahim Mustafa Ally says:

    Majina ya waliofaulu usaili wa kuandika hayapatikani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *