MABADILIKO ya tarehe na Eneo la Usaili NECTA, MDA’s & LGA’s na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

Filed in Uncategorized by on April 29, 2025 0 Comments
     
MABADILIKO ya tarehe na Eneo la Usaili NECTA, MDA’s & LGA’s na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

MABADILIKO ya tarehe na Eneo la Usaili NECTA, MDA’s & LGA’s na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

MABADILIKO ya tarehe na Eneo la Usaili NECTA, MDA’s & LGA’s na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wasailiwa mnaarifiwa kuwa, kuna mabadiliko ya ratiba au mahali pa usaili kwa kada zote za NECTA, baadhi ya kada za MDA’s & LGA’s pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kama inavyoonekana hapa chini;-

  • Usaili wa vitendo na mahojiano kwa kada zote za NECTA umesogezwa mbele hadi tarehe 20 – 21 Mei 2025.
  • Usaili wa mahojiano kwa kada ya ‘Medical Officer II’ – Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) utafanyika tarehe 6 Mei, 2025.
  • Usaili wa Mahojiano kwa kada ya ‘Msaidizi wa Kumbukumbu II’ – MDA’s & LGA’s umesogezwa mbele hadi tarehe 18 Mei, 2025 na utafanyika katika Shule ya Sekondari Dodoma
  • Usaili wa mahojiano kwa kada ya ‘Afisa TEHAMA Msaidizi II’ – MDA’s & LGA’s utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira kwa tarehe zilizopo katika tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote mnasisitizwa kuzingatia maelekezo yaliyopo kwenye tovuti ya www.ajira.go.tz na katika akaunti zenu za “Ajira Portal”.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!