MAFUNZO ya Muda Mfupi ya Uongozi Kwa Wataalam wa Maabara

MAFUNZO ya Muda Mfupi ya Uongozi Kwa Wataalam wa Maabara
MAFUNZO ya Muda Mfupi ya Uongozi Kwa Wataalam wa Maabara
Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Uchunguzi na Huduma za Ufundi wa Afya (DHCTSU) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) inatangaza fupi ya Global Laboratory Leadership Programme (GLLP) yenye lengo la kukuza na kutoa ushauri kwa viongozi wa sasa na wanaochipukia wa maabara ili kujenga, kuimarisha na kuendeleza mifumo ya maabara ya Taifa.
Kiongozi wa maabara anafafanuliwa katika mfumo wa uwezo wa uongozi wa maabara kama “mtaalamu wa somo la sayansi ya maabara binafsi anayehusika na kusimamia fedha, kuwahamasisha wafanyakazi, kutetea maabara, kujenga uhusiano na washirika wa nje, na kuendesha michakato ya kutunga sheria.”
Mchakato wa Maombi Waombaji wanaostahiki wanapaswa kujaza na kutuma maombi yao kwa Wizara ya Afya kabla ya tarehe 28 Februari 2025.
Maombi yote yatumwe mtandaoni kwa kutumia kiungo; https://forms.gle/ZyYhtrugmhNXTYe58

Tangazo la kozi fupi ya Global Laboratory Leadership Programme (GLLP)
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MAFUNZO ya Muda Mfupi ya Uongozi Kwa Wataalam wa Maabara
I need this job i need your help