MAGAZETI ya Leo Alhamisi 29 May 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 29 May 2025
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 29 May 2025
Profesa Mohamed Janabi ameapishwa rasmi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika.
Profesa Janabi ameapishwa Jumatano Mei 28, 2025 ikiwa ni siku 11 tangu alipochaguliwa Mei 18, 2025 wakati wa kikao maalumu cha ana kwa ana cha kamati na bodi ya utendaji ya shirika hilo kilichofanyika Geneva, Uswisi.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
