MAGAZETI ya Leo Ijumaa 25 July 2025

Filed in Magazeti by on July 25, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 25 July 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 25 July 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 25 July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Alli Ibrahimu Malinda (30), mkazi wa Kijiji cha Ng’apa, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 10.

Hukumu hiyo imetolewa leo July 23, 2025 na Hakimu Mkazi Delphina Kimathi, baada ya ushahidi wa upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo pasipo shaka yoyote.

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, tukio hilo lilitokea January 6, 2025, usiku katika kijiji cha Ng’apa, wakati Mtoto huyo akiwa usingizini ambapo Malinda alitumia nafasi yake kama Mzazi vibaya na kutenda kitendo hicho cha unyama ndani ya nyumba yao ya Familia.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Kimathi amesema kuwa ushahidi uliotolewa Mahakamani umeonesha wazi kuwa Mshtakiwa alitenda kosa hilo la ukatili wa kingono dhidi ya Mtoto wake, na kwamba Mahakamama haiwezi kuvumilia matendo kama hayo yanayohatarisha ustawi na haki za watoto.

Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili wa Serikali Denis Nguvu, uliiomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa mshtakiwa ili iwe fundisho kwa Watu wengine wenye tabia kama hizo, katika uamuzi wake, Mahakama imesema adhabu hiyo ni sahihi kwa kuzingatia uzito wa kosa na madhara aliyoyapata Mtoto huyo.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *