MAGAZETI ya Leo Jumamosi 15 Machi 2025 

Filed in Magazeti, Michezo by on March 15, 2025 0 Comments
     

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 15 Machi 2025

watu wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Kalenga kata ya Mofu Halmashauri ya Mlimba baada ya kupigwa na radi wakiwa shamba, huku mmoja akipata mshtuko kutokana na radi hiyo.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Akizungumzia tukio hilo diwani wa kata ya Mofu, Graison Mgonela amesema tukio hilo limetokea Machi 13 mwaka huu saa 11 jioni ambapo mvua iliyoambatana na upepo na radi ilianza kunyesha.

Diwani huyo amewataja waliofariki katika tukio hilo ni Ally Abdallah pamoja na mtoto wa kaka yake Kulwa Paulo wote ni wakazi wa kata ya Mofu.

“Huyu mwanamke aliyepata mshtuko ametambulika kwa jina moja la mama Ibu na kwa sasa yuko anaendelea vizuri,” amesema Mgonela.

Amesema kabla ya radi kupiga watu hao walipoona mvua na upepo mkali walienda kukaa chini ya mti kujikinga wasiloe na mvua, ambapo mwanamke huyo alikimbilia kwenye kibanda kilichopo jirani na shamba.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!