MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025
MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025
Mkazi wa Kijiji cha Mungushi, Wilaya ya Hai, Mary Mushi mwenye umri wa miaka 26 anadaiwa kuwaua watoto wake wawili, mmoja mwenye umri wa miaka minne na mwingine wa miezi sita, kisha kujaribu kujiua kwa kujijeruhi, katika tukio la kusikitisha linalodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kifamilia.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Abel Mtagwa, amethibitisha kutokea tukio hilo leo mchana, Juni 20, 2025, na kusema kuwa uchunguzi umeanza ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
