Magazeti ya Leo Jumamosi tarehe 8 Machi 2025
Magazeti ya Leo Jumamosi tarehe 8 Machi 2025
Kwa sasa viongozi wa Simba wapo kwenye kikao ili kutoa maamuzi kuhusu kuzuiliwa kufanya mazoezi ya mwisho.
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Naiz Majani ametaja makundi manne ya wanawake wajawazito walio katika hatari ya kujifungua watoto wenye matatizo ya moyo.
Dk Majani amesema kuwa wajawazito wenye matatizo ya moyo au waliowahi kuzaa mtoto mwenye tatizo la moyo, au mwanafamilia yeyote aliyewahi kupata mtoto wa aina hiyo, wako katika hatari zaidi ya kujifungua mtoto mwenye shida hiyo kutokana na vinasaba.
Makundi mengine ni wajawazito wenye watoto pacha, lakini pia wanaougua au wanaotumia dawa kwa muda mrefu kama vile za kisukari, presha au kifafa.
Dk Majani amebainisha hayo leo Machi 7, 2025 wakati akizungumzia huduma wanayotoa katika banda la JKCI katika viwanja vya TBA ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Dunia, inayotarajia kuhitimishwa kitaifa kesho jijini hapa.
Kutokana na hatari hiyo, Dk Majani amewashauri wajawazito kuhudhuria kliniki mapema na kuhakikisha wanafanya kipimo cha ‘Fetal Echocardiography’ ili kubaini tatizo na kujipanga namna ya kukabiliana nalo.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Comments (4)
Trackback URL | Comments RSS Feed
Sites That Link to this Post