MAGAZETI ya Leo Jumapili 16 Machi 2025
MAGAZETI ya Leo Jumapili 16 Machi 2025
Tarehe 10 Machi 2025, Waziri wa Afya Jenesta Mhagama alitangaza kuhusu uwepo wa ugonjwa wa Mpox nchini, ambapo watu wawili wamebainika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo jijini Dar es salaam.
Kutokana na hali hiyo Serikali imeanza kuchukua hatua mbalimbali kwa lengo la kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa huo zikiwamo kutoa elimu ya namna ya kujinga na ugonjwa lakini pia nini cha kufanya baada ya kuupata.
Akizungumza ofisini kwake Machi 15, 2025 Mratibu wa Elimu ya Afya kwa Umma Mkoa wa Dodoma, Dk Nassoro Matuzya, amesema ugonjwa huo huambukizwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kula nyama pori za wanyama walioathirika.
Hata hivyo ugonjwa huo huanzia kwa wanyama wa porini kabla ya kufikia kwa wanyama wa nyumbani ambao wengi zaidi huwa karibu na binadamu hivyo kuwa rahisi kupata maambukizi.
Pia amesema kuwa kuna Makundi ya watu katika jamii ambayo yapo hatarini zaidi kupata ugonjwa huo wakiwemo watu wenye kinga dhaifu kama vile wazee, watoto na watu wenye magonjwa sugu.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Habari Kubwa kwenye Magazeti ya Leo Jumapili tarehe 16 Machi 2025, Haya hapa Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili tarehe 16 Machi 2024, Kurasa za Mbele za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili 16 Machi 2025, MAGAZETI ya Leo Jumapili 16 Machi 2025, Magazeti ya Tanzania Leo tarehe 16 Machi 2025, Mezani Leo Magazeti ya Jumapili tarehe 16-03-2025.