MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 22 June 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on June 22, 2025 0 Comments
     
MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 22 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 22 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 22 June 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetwaa ubingwa wa mashindano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kenya.

Bao pekee la ushindi la Twiga Stars lilikuwa la kujifunga la Enez Mango wa Kenya katika dakika ya 49 aliyekuwa katika harakati za kuokoa hatari langoni mwake.

Ushindi huo umeifanya Twiga Stars ifikishe pointi 12 katika mechi nne ilizocheza na hivyo kujihakikishia taji huku Kenya ikimaliza katika nafasi ya pili na Uganda ipo nafasi ya tatu.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *